Details
Description
Nauza simu aina ya oppo a57 kwa bei nafuu simu ni nzuri na ina ubora na iko slim ina muonekano mzuri haiboi kuibeba ipo smmooth pia ina uwezo wa STORAGE :64GB RAM :4GB INATUMIA;O-cloud km iphone FINGERPRINT:pia inatumia fingerprint km ilivo kwenye iphone hii ni simu nzur na yenye uwezo naamini utaifurahi nicheki kwa no kupata simu hii free deriverly tukufikishia popote ulipo karibuni sana