23.03.2022Tanzania, Dar es Salaam

New Samsung Galaxy Note 9 128G

TZS 570 000

Brand:

Samsung

Condition:

NEW

Description

KARIBU MTEJA NI MFALME ... -Original samsung galaxy Note 9. -Original (Connecting) S-Pen. -128GB, Purple. -Simu ni full box na vifaa vyote. -Kava la simu bure. -Warranty ... Bei haipungui zaidi, pia hatufanyi exchange wala top-up!. .... 1. Dar unaletewa bure, unaweza kulipa ukishapokea bidhaa 2. mikoani tunatuma 15,000 unapewa risiti ya EMS, malipo kabla. ..... -dukabuy ni kampuni ya uhakika inayoingiza tanzania bidhaa orijino za electronics kutoka nje

DukaBuy

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam