Details
Description
nauza vivo y21 nipo mecco unapata na box lake pamoja na receipt yake kama utahitaji ni mali halali kwa mtanzania na bei ni hiyo tajwa sio chini au juu ya hiyo. Ukisikia inauzwa chini ya hiyo bei epuka matapeli ndg yangu offer hii ni kwa siku tatu tuu keshokutwa sitakuwepo Mwanza tena. Asanteni sana