Details
Description
Kati ya changamoto ambazo watumiaji wa vivo hupitia ni kupata vifaa vizuri vya simu zao kutia ndani kava, protector bila kusahau vioo. Sasa kwa kutambua hilo sisi ifixit tumekuja na suluhisho kama una vivo yoyote na umevunja kioo chake karibu uwasiliane nasi, tutakufungia kioo original kabisa na utafurahia kutumia simu yako tena kama mwanzo