Details
Description
Je unajua kwamba ukibadilisha kioo cha simu yako ifixit utapata huduma ya ufundi bure na wifi bure? Bado hujachelewa karibu leo tukutengenezee simu yako kwa uaminifu,haraka na kwa ufanisi mkubwa. Tuko makumbusho stendi karibu na viva supermarket ghorofa ya kwanza chumba namba 17a