Details
Description
“Simu yangu ofisi yangu” iko hivyo kwako pia, simu yako Ina karibu kila kitu chako muhimu lakini leo bila kutarajia imevunjika vibaya kioo !! Tunafanyaje? ifixit tu naelewa hilo na tuko tayari kukusaidia Kurekebisha simu yako leo leo. Tuna Vioo vya simu zote