Details
Description
iphone se 2022 imenyooka kabisa true tone ✔️ battery health 85 ✔️ haijawahi kufunguliwa kabisa ✔️ storage: 64gb ✔️ inafika ios 26 na uwezo wa hii simu ni sawa na iphone 13 ✔️ ninapatikana morogoro karibu tufanye biashara pamoja ✔️