Details
Description
Kioo cha iPhone 6 Plus chenye ubora wa AAA kinapatikana dukani kwetu kwa gharama tajwa. Ukihitaji tukutumie kioo utapata na tools za kufungulia simu zote za iphone. Kama ukihitaji tukubadilishie karibu sana ofisini kwetu Makumbusho stendi.