Details
Description
Habari, Nauza Simu yangu .. Iphone 11 plain.. ina gb 128 ram gb 4.. Simu ni clean kama mpya..haina michubuko kabisa.. ila imesahaulika Pasword zake za passcode.. Mimi naiuza kama Spare tuu ...maana kila kitu kipya na kina fanya kazi.. Truetone ipo.. face id ipo ..na haisumbui Nipo Mbeya Nipigie au Ni whatsap kwa 0624927463 Kama upo mkoa wa jirani na mbeya nakufikishia bei Inapungua pia naruhusu exchange na Topup