Details
Description
mambo vipi.. Nauza iohone yangu .. ni iphone 11 plain ina gb 128.. faceid na trutone safii.. simu bado kama mpyaaa haina muda .. ila imesahaulika pascode mpaka imejilock inaandika Unavailable.. mi nataka niiuze kama spea kwa bei ya hasara ..namba zangu 0767395700 kawaida na whatsap.. nipo mbeya kama upo mkoa wa mbali nitaagiza kwa gharama zangu hadi ikufikie.. Naruhusu exchange na simu kaliii isiwe ina maelezo na utaniongeza hela kiasii.. bei pia inapungua simu ni clean sana.. battery 98%