08.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Condition:
NEW
Description
Vikoi vizuri vya Uganda Ni vikubwa mita 2,vinatosha kushona au kujifunga Havipauki wala Havitoi rangi ukifua Ni vyepesi siyo vizito Zipo rangi nzuri tofauti Jumla ni sh 8000 tu ni kuanzia vitano
Chat with ARAPHA
Call ARAPHA