03.09.2023Dar es Salaam

Nyumba Inauzwa na bank kinyere

TZS 33 000 000

Description

Nyumba ipo Ilala kinyerezi ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 33 maongezi yapo maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948. Hii nyumba ina Inauzwa kwa mnada wa benki bei ya kuona nyumba ni shilingi elfu 20 karibu sana

John

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam