14.10.2022Dar es Salaam

UNDER EYE SERUM

TZS 30 000

Description

‼️For Dark Circles & Puffy Eyes‼️ Hii ni maalumu kwa wale wenye weusi chini ya macho na puffy eyes. 100% natural. Handcrafted with love. Kila kitu kilichopo ndani ni natural. Our serum ni water based and lightweight formula. Inazama in 3 minutes and contains amazing active ingredients. Some of the key ingredients ni: Camu camu 👉 hii ina vitamin C nyingi zaidi ya chungwa. Vitamin C inasaidia kuboost collagen, hyperpigmentation or uneven skin. Collagen 👉 hii inasaidia elasticity. 0768885555

Edel Naturals

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam