Description
A- Ret gel 0.1 form of vitamin A hii ni treatment gel inayotibu chunusi za usoni lakin pia hata kama unachunusi mgongoni unaweza tumia Tretinoin inakausha chunusi inazuia breakout na pigmentation zote Tretinoin helps stimulate collagen production and block acne causing inflammatory pathways Kwa mtumiaji mpya wa tretinoin tunashauri aanze na percent ndogo na atumie mara chache kwa nyakati za usiku pale ngozi itakapozoe basi anaweza kutumia kila siku. What serums go best with tretinoinNIACINAMIDE