Description
Sabuni Za kopo zmefika hizi sabuni moja unaweza dumu nayo miezi mi 3 😹😹 ngumu kwanza kuisha wale wapenda sabuni za kutakatisha ngozi unawakaa kazi kwenu zipo ambazo hazingarishi na zipo za kungarisha Zipo dukani 🤣🤣✋🏼 zipo flava mbali mbali Ni wew tu nyie kama hutaki kungaa useme usije lalamika Upewe ambao haingarishi unakuwa soft tu na kuna ambazo zinagarisha kiasi pia useme Mapema Kazi kwenu whatsap📞 0734328972