14.10.2022Dar es Salaam

RAW GHANAIAN SHEA BUTTER

TZS 25 000

Description

Siagi nzuri sana kwa ngozi na nywele. Faida   ✅️Inasaidia watu wenye pumu ya ngozi (eczema) harahara kwenye ngozi (acne)  ✅️Inasaidia kutuliza kama mtu anawashwa na ngozi ✅️Inasaidia kuboresha muonekano wa ngozi iliyosinyaa (saggy skin) ✅️Uzee wa ngozi (ageing skin) ✅️Inasaidia kung'arisha ngozi iliyofubaa (dull skin) ngozi kudumaa (wrinkles n aging)  ✅️Inalainisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo (soft and smooth skin) ✅️Inasaidia kuipa ngozi uangavu wa asili (natural glow). WhatsApp 0768885555

Edel Naturals

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam