image

20.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Product Asilia Za Ngozi

TZS 150 000

Description

Derma Repair Body Lotion na Derma Repair Facial Cream ? Ni lotion ambayo imetengenezwa takriban na mimea asili 7 isiyo na kemikali na ni chakula Kwa ngozi. Mimea hiyo inaifanya DERMAEVER kuwa mafuta Bora ya mwili na uso na kukupa faida zifuatazo???? ??Inaongezwa unyevu kwenye ngozi, Kwa asilimia 53%..Na Ina harufu Nzuri Mno ??Inarudisha uwezo wa ngozi kutanuka na Kusinyaa Hivyo huondoa makunyanzi kwenye ngozi. ??inaleta mng'ao wa ngozi Inamfanya mtumiaji kuwa na ngozi yenye rangi Moja mwili mzima na Yenye muonekano mzuri ?Inasaidia kuondoa uchakavu wa ngozi kwa watu wote. ?Inaondoa Weusi mapajani , makwapani na pia inaondoa michirizi ?inasaidia ngozi kujilinda na kujitibu na magonjwa ya ngozi, kama vile mabalango, upele, chunusi zisizoisha ??huondoa cell zilizokufa kwenye ngozi na kuchochea uzalishaji wa cell mpya kwenye ngozi. ??Inarekebisha ngozi iloungua na cream zenye kemikali na kufanya kua na ngozi mwonekano mzuri ? Inafanya Ngozi Inakua soft ?Note.Inatumika na Wanawake pamoja na Wanaume na pia Haichubui Unabaki Na ngozi Yako nzuri.. Kwa Yeyote Anaejali Ngozi Yake Hii sio Ya Kukosa Na Sasa unaipata kwa Bei Ya Punguzo DermaEver Lotion( Ya Mwilini )Tsh 80000 na DermaEver Facial Cream ( Ya Usoni) Tsh 70000 Jumla package nzima unaipata kwa Tsh 150000..Pia Tunatoa Ushauri wa Namna Ya kuitunza Ngozi Yako #Wecareyou'reSkinHealth

TULI METHOD

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location