Description
Sabuni ya maji ya black soap inaharufu nzurii ya peppermint with a finishing note of woodsy. Faida ya hii sabuni 1. Haishi haraka kama ya kipande as haipo kwenye risk ya kupatwa na unyevu. Ya kipande ukijua kuitunza na kuweka sehemu kavu inadumu angalau. 2. Easy to use. Unaweka kwenye kiganja chako na kupaka usoni au kwenye loofah (dodoki), sponge au wash cloths. 3. Suitable from head to toe 4. Moisturizing as ina humictant (honey) 5. Wintergreen and woodsy smell with orange finish. 0768885555