Description
✔️Inasaidia Ku repair ngozi ilioharibika. ✔️Inailinda ngozi isiwe kavu kwa kuipa unyevunyevu na virutubisho stahiki. ✔️Inapunguza wekundu kwenye ngozi. ✔️Inaondoa mikunjo na matatizo yote yanayo sababishwa na ngozi kuwa kavu sana. ✔️Haichubui bali huipa ngozi mng'ao fulani wa kuvutia