Description
✔️Ni Cream nzuri kwa kutibu matatizo ya ngozi kavu (dry skin). ✔️Inaondoa miwasho kwenye ngozi (ichy skin) ✔️Inaondoa mikunjo kwenye ngozi. ✔️Inatibu sehemu zilizoungua na jua (sunburn). ✔️Inaondoa matatizo ya aczema. ✔️Inarekebisha ngozi kavu na kuipa unyevunyevu na virutubisho. HAICHUBUI BALI HUIPA NGOZI MNG'AO FULANI WA KUVUTIA SANA.