01.06.2022Tanzania, Dar es Salaam

Dr Ts Toothpaste

TZS 30 500

Description

Bidhaa hii ina faida zifuatazo:- 1. Hutibu magonjwa yote ya meno kama meno kufa gazi, kuuma, kutoboka n.k 2. Huondoa harufu mbaya kinywani isababishwayo na bacteria wabaya. 3. Huepusha tatizo la kung'oa meno. 4.Hutibu tatizo la fizi kuvimba, kuuma na kutoa damu. 5. Hung'arisha meno kwa kuondoa unjano na ukungu uliosababishwa hasa na uvutaji wa sigara na unywaji pombe uliokithiri.

Muro T.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam