Description
Mafuta mgando kwa familia Ujazo wa sadol la lita moja ukinunua hili sahau tena nyumbani mafuta haya ni kiboko kabsaa yanaweka ngozi yako katika mwonekano mmoja mwili mzima yanaweka ngozi soft iliyo fubaa yana lainisha ngozi, ngozi inakua smooth hayakupi sugu anatumia mtu wa aina yoyote ile