Description
One of our best sellers. Ni mchanganyiko wa butters (zaidi ya moja), oils and botanicals including chebe as the main ingredient. Ina kaharufu ka mandarini na peppermint kwa mbalii. The scent is not strong kabisaa. Hata mwenye allergy ya harufu anatumia bila shida. We kept is simple and natural. Faida: Sealing - inasaidia kuretain moisture na nywele isikatike. Promotes hair growth Promotes thickness and voluminous Hii butter hata nywele iwe kipili pili au imedumaa lazima ina surrender.