Description
Imetengenezwa kwa Asali, Mchaichai na Zabibu. Ni asili 100% imethibitishwa na mamlaka zote husika. Huondoa chunusi na madoa kwenye ngozi Hung'arisha ngozi yako Huondoa mba Huondoa harufu mbaya mwilini Hutibu matatizo ya fangas Hufanya ngozi kua nyororo na laini Huondoa mapunye Huondoa miwasho Huondoaweusi kwapani na mapajani Huondoa makunyanzi na kupambana na kuzeeka kwangozi Hutunza unyevunyevu wa ngozi