09.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

toyota

TZS 7 000 000

Details

Year
2005
Transmission
automatic
Model
passo-racy

Description

Gari kali sana haina tatizo lolote lile wala changamoto yoyote ile gari full Ac full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 7 chapu unawasha na kuondoka safari popote gari inafika njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha

Toyota C. A.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam