16.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

toyota

TZS 6 800 000

Details

Year
2005
Transmission
automatic
Model
voxy

Description

Gari kali sana haina tatizo lolote lile wala changamoto yoyote ile gari full Ac full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 6.8 chapu unawasha na kuondoka safari popote gari inafika njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha

Toyota C. A.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam