Details
Description
Gari nzuri sana na imekaza sana gari haina changamoto yoyote ile gari full Ac full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 6 chapu unawasha na kuondoka safari popote gari inafika njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha maongezi yapo baada ya kukagua gari