25.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

toyota

TZS 7 000 000

Details

Year
2000
Transmission
automatic
Model
carina

Description

Toyota Ti carina gari nzuri sana na imekaza sana haina kipengele chochote kile wala changamoto yoyote ile gari full Ac full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 7 maongezi kwenye gari njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha gari unawasha na kuondoka safari popote gari inafika

Toyota C. A.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam