01.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Details
Description
Hiace nzuri iko vizuri haina changamoto yoyote ile gari full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 17.5 chapu unawasha na kuondoka safari popote gari inafika engine ni 3L
Chat with Toyota C. A.
Call Toyota C. A.