02.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

toyota

TZS 4 800 000

Details

Year
2000
Transmission
automatic
Model
rav-4

Description

Rav4 gari nzuri changamoto zake nikama unavyoziona kwenye picha lakini haina shida yoyote ile wala kipengele chochote kile engine safi gearbox safi gari inauzwa million 4.8 chapu unawasha na kuondoka safari popote gari inafika njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha

Toyota C. A.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam