Details
Description
Harrier old model gari nzuri sana na imekaza sana haina kipengele chochote kile wala changamoto yoyote ile gari full Ac full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 11 chapu unawasha na kuondoka safari popote gari inafika njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha