Description
*☄️Toyota Wish New Model 2010 (DVL)☄️* Hiyo Rangi Gray Meca Seat 7 ina engine ya 2ZR 1.8L Petrol Valvematic Vvti haijawahi kurudiwa rangi popote ina kilometa 71k+ Rimsports,Tairi mpya zote nne,Usb Radio,Imekamilika kila Idara. Bei 14.5M NIKO NAYO FULLTIME ☎️