Details
Description
Suzuki Escudo - T202 CQX, Ipo kwenye hali nzuri ni kama mpya tuu, Haina shida yoyote ile, Full Ac na tairi ni mpya kabisa, Ipo Mbezi beach Salasala kilimahewa - Dsm Bei ni 13,000,000/= Tshs. Maelewano yapo Mawasiliano, 0784189096 0713967676 Karibuni sana.