Description
2003 Nissan Patrol Gr (Mashine ya kazi ) Nissan patrol 3.0d 2990 cc engine automatic Gearbox, Diesel engine , kilometa zilizotembea ni 165,505KM turbo, Optional 4 wheel drive / 2wheel drive airbag , central locking system 7 seats leather seats. DVD/USB/BLUETOOTH Radio kila kitu kipo katika hali nzuri sana ni kuwasha na kupiga masafa ya mbali. Bei ni Tzs 27,000,000 Haina Dalali wahi sana usijeikosa !!!!!! call/Text/Whatsapp kwa taarifa zaidi