Brand:
Nissan
Model:
Elgrand
Description
GARI NZURI SANA AINA YA NISSAN,IMEFUGWA IKAFUGIKA,UNAWEZA KUSAFIRI NA UKOO MZIMA KWA JINSI ILIVYO NA NAFASI..GARI IKO VIZURI SANA NDANI MPKA NJE.. KUTOKANA NA HALI YA KIUCHUMI WA MAFUTA,GARI IMETOLEWA ENGINE YAKE AMBAYO INAKUNYWA MAFUTA VIBAYA SANA YA CC3500 PIA HUWA ZINASUMBUA,IMEFUNGWA ENGINE PUNDA YA 1G KAVU(KAMA YA GX100)AMBAPO SASA GARI INA CC1990 TU..PIA SWALA LA KUHARIBIKA AMA KUFA ENGINE SAHAU...WAHI HARAKA UOKOTE DODO KWENYE MWAROBAINI.. LOCATION MADALE DSM..CALL 0746047606..BEI NI FIXD