Details
Description
37M+USAJILI #0787290855 2013 MITSUBISHI OUTLANDER OUTLANDER Inayokuja na ENGINE mbili #1=4B11=Petrol Cc1990 #2=PHEV=Hybrid Electric System(UMEME) Unaweza Kuchaji ukiwa Unaendesha gari or Kuchaji kwa CABLE(IPO) Nyumbani 2hrs to Full unatumia Umeme(Hybrid) bila Mafuta Mwendo wa km60+ Unaweza kutumia Vyote viwili 50/50 Petrol+Umeme kusave Mafuta kwa kuchagua na Button. ๐ฅ4lt unatembea km100 Petrol +Umeme kwa Pamoja