28.09.2022Dar es Salaam

IST DXN kalii, Piga 0719972458

TZS 12 500 000

Details

Make
Toyota
Model
IST
Year
2002
Mileage
1 km
Transmission
Automatic

Description

Haina changamoto yoyoye kiufundi, gari ni kama mpya tuu. Ina mziki mnene(Android system) Seat cover mpya Rims sport Kikofia cha nyuma(mvuto sana) Taa za nyuma za shanga Rangi yake ni beige Body kit nzuri BIMA KUBWA CC 1490 Ipo Dar Bei ni 12.5M (HAIPUNGUI) Piga simu 0719972458 Karibu sana🤝

Magari A. Z.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam