Details
Description
Gari aina ya ford ranger pick up inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara. ID Ford Ranger 01 Make - ford Model - ford ranger Year - 2012 Doors - 4 Seats - 8 Engine size (cc) - 2200 Number 0f Airbags - 2 Fuel - diesel Color - black Warranty: - No New: No Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: tembelea https://brbuyandsell.co.tz Tupo Amverton Office Park,Upanga mtaa wa Lugalo & Magore Dar es sala