Details
Description
Nyumba hiyo nabadilishana na gari Kama Noah, Rav4, spacio, Raum, Premio nk Nyumba ipo Tanga Handeni kwachaga Ipo mita 200 kutoka barabara kubwa iendayo dar ipo kwenye mtaa mkubwa Ina vyumba 3 sebule na choo ndani public Ina umeme full gypsum Eneo lake mita 30 kwa 40 Kwa cash nauza milioni 14 Angalizo gari iwe namba D au E Piga 0655005183