Details
Description
Inapatikana Moshi Mjini Kuletewa popote Tanzania utachangia pesa ya mafuta imefungwa android music system Toleo la mwaka 2006 CC 2490 Push to start ina steering switch haina mikwaruzo Gari ya mtu wa banki(Haina mambo mengi) Bei 11.8M Maelewano yapo Piga simu 0719972458