Details
Description
Platinum Credit Ltd ni taasisi inayojihusisha na utoaji wa huduma ya mikopo ya haraka kwa dhamana ya kadi ya gari inahitaji watu wenye uwezo wa kutafuta wateja (Sales) wenye sifa zifuatazo: 1. Awe mkazi wa Dar es salaam. 2. Awe mpambanaji/Mchapakazi 3. Awe na elimu angalau stashahada ( Diploma) ya Marketing, Business administration, Accounting etc 4. Awe ana uzoefu wa mazo usiopungua mwaka 1 NB: Malipo ni COMMISSION kabambe sio MSHAHARA