Details
Description
Tunahitaji watu wa mauzo (SALES) kwajili ya kutafuta wateja wa mikopo kwa dhamana ya kadi ya gari. Wenye sifa zifuatazo; *Elimu - angalau Stashahada ya usimamizi katika biashara, masoko, uhasibu nk. *Awe tayari kulipwa kwa COMMISSION *Awe na uzoefu wa mauzo ya mikopo angalau mwaka 1. *Awe na umri kati ya Miaka 27 - 40 *Awe Mkazi wa Dar es salaam *Awe mchapa kazi na mpambanaji