Details
Description
TANGAZO LA KAZI KAZI YA KUSAJILI LAINI ZA SIMU MTANDAO WA AIRTEL MTAA KWA MTAA [DOOR TO DOOR] VIGEZO -UWE NA AKILI TIMAMU -UWE NA MIAKA 18 HADI 35 -UWE NA NIDHAMU -UWE NA TIN NAMBA[TIN CERTIFICATE] TUNAPATIKANA MABIBO-UBUNGO PIGA NAMBA +255789882219 NJOO UPAMBANIE FURSA.