Description
Network Video Recorder (NVR) Yes ni mashine maalumu kwa ajili ya Network Camera (IP Camera) na shughuli Yake kubwa ni kupokea , kuhifadhi na kutoa taarifa za picha mjongeo (video) kwenda kwenye chanzo elekezi kama TV, simu, laptop nk Zipo kuanzia channel 4 ,8 ,16 , 32 nan 64 Nikisema channel namanisha uwezo wa kubeba camera Karibu hapa kwa mawasiliano zaidi 👇 0765576003 Popote ulipo Tanzania tunakufikishia mzigo wako