18.01.2025Dar es Salaam

Dahua CCTV camera

TZS 48 000

Description

Mfumo wa Cctv camera umekuwa wa muhimu Sana pale ambapo tunahitaji kujua kinachoendelea katika maeneo yetu nyakati ambazo tunakuwa mbali. Ukiachana na brand ya HIK Vision kuna mshindani wake wa karibu nae ni Dahua ! Yes kwenye picha ni Dahua CCTV Camera 2MP zenye sifa hizi👇 Zinarekodi Sauti Zinarekodi rangi halisia masala 24 Na ni hd quality 1080 Zina Sensor na zinawaka taa nyakati sa usiku .... Zipo na vifaa vyenza kama Dvr, Nvr, Hard Disk , Coaxial Cable , Video baloon ,nk 📞 0765576003

Primetech S.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam