06.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

CCTV camera

Negotiable

Condition:

NEW

Description

CCTV CAMERA ROYAL SECURITY SUTIONS Inakushauri kuimarisha ulinzi wa eneo lako kwa kufunga mifumo imara ya uangalizi wa cctv camera . ?Unaweza kufunga nyumbani , ofisini, shule , hospitali, kiwanda , eneo la mradi na godauni . ?Tuna camera zenye uwezo mkubwa wa kukupa picha angavu mchana na usiku . Camera zina uwezo mkubwa wa kutambua kila kitu pamoja na namba za magari kwa usahihi pamoja na sura ya mhusika . ?Pia utakuwa na uwezo wa kuangalia camera zako ukiwa sehemu yoyote Duniani kwa kutumia simu yako ya mkononi . ?Tuna tumia bidhaa zinazoaminiwa Duniani kote aina ya HIKVISION . ?KARIBU TKUFANYIE KAZI BORA NA SAFI KWENYE ENEO LAKO . PIA TUNAUZA NA KUSAMBAZA VIFAA VYOTE VYA MIFUMO YA CCTV CAMERA KWA BEI NAFUU KABISA TUPO DAR ES SALAAM /kariakoo

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam