Condition:
NEW
Description
Tunafanya wiring kwaajili ya security systems kwenye nyumban zinazoendelea na ujenzi ili kuepuka kubomoa bomoa nyumba yako au kupitisha mabomba ukutani baada ya nyumba kukamilika # kwa bei nafuu kabisa tutakuwekea cable maeneo yote muhimu kwa ajili ya kufunga : *CCTV CAMERA *VIDEO DOOR PHONE *ELECTRIC FENCE *MOTOR GATE *ALARM SYSTEM Kwa ajili ya baadae