Description
Huduma Ya Kufunga Camera Ndio tunafunga Camera za kila Aina yaani Analog camera, IP Camera, WiFi Camera, Stand alone camera nk kwa gharama nafuu. Huduma hii inaambatana na site survey kabla ya kazi pia ushauri wa kiufundi unapata pasipo gharama za ziada Weka eneo lako salaam sasq kwa kupiga simu namba👇 +255765576003