Description
Ilinde familia na mali zako kwa kufunga CCTV camera leo. Pata seti nzima ya CCTV camera kwa shilingi laki 6 tu pamoja na gharama za ufundi. Seti hii inajumuisha camera 4, DVR channel 4, HDD 1 TB, cable 100M , Power supply na BNC 8. Tupigie sasa kupitia namba 0764308320 tukuhudumie.