Details
Description
#Furnished Master bedroom for rent at Kimara Korogwe @170K X3 #Chumba master kizuri, fenced, Parking, Umeme BURE, MAJI BURE, Kitanda BURE, Godoro BURE, zina Feni Juu, Mazingira Tulivu sana. #Kodi 170,000/= x3 #ipo Kimara Korogwe, umbali wa dakika 8-10 tu, au Bodaboda 1000 #Malipo ya Dalali Festo Ni Hela ya mwezi mmoja 170,000/= #Kwenda kuona (service charge) 20,000/=